SNURA MUSHI AONGEA NA WANDISHI KUHUSU CHURA
Msanii Snura Mushi akizungumza na wandishi wa habari kuhusu adha waliyoipata kuhusu kufungiwa kwa wimbo wa CHURA Snura amewaomba radhi wa Tanzania wote tukio lililotokea kwa kufungiwa chura na...
View ArticleBREKING NEWZZZZZZZZZZ MTITI WA BODABODA KAMA SINEMA
Abiri wa 2 mtu na mpenzi wake waanzisha varaghati dereva wa kijana akiwa na mpambano na mpezi wake dereva hajui jinsi ghafla kijana akaivamia hiyo bodaboda na kumteremsha huyo mpenzi na na...
View ArticleArticle 5
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE, (JNIA), WAPATA SHIRIKA LINGINE LA NDEGE, NI MAURITIUS AIRLINES MFANYAKAZI wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini, TAA, akiielekeza ndege ya Shirika la...
View ArticleArticle 4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha sehemu mbalimbali wakati akitokea Dodoma kuelekea mjini Arusha...
View Articleyanga yaongoza
Yanga inaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Msuva baada ya kupokea pasi kutoka mwashua na kufunga kwac kichwa
View ArticleArticle 2
MCHEZAJI WA SOKA WA CAMEROON ADONDOKA UWANJANI NA KUFARIKI DUNIA, NI PATRICK EKENG AKICHEZEA LIGI YA ROMANIA Watoa huduma ya kwanza wakiwa wamembeba marehemu Patrick Eleng, baada ya kudondoka uwanjani...
View ArticleArticle 1
EWA KUHUSU HAKI ZA WATOTO KWA WABUNGEYAFANYIKA DODOMANaibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu), Dk Abdallah Possi (kulia), akiwasilisha mada katika semina ya Wabunge kukuza na...
View ArticleBREKING NEWZZZZZZZ YANGA YAIFUNGA ANGOLA BAO 2-O LEO
Yanga imeshinda bao 2-0 dhidi ya timu ya Sagrada ya angola katika mcheze wa shirikisho magoli yamefungwa na Saimon Msuva na Matheo Anthony alioengia kipindi cha pili kwa mkwaju wa mbali mchezo...
View ArticleJK AMUAKILISHA MAGUFULI MAZISHI MKE WA MWAIKIBAKI
Mwili wa mke wa aliyekuwa rais wa Kenya Mwai kibaki , mama Lucy Kibaki ukiwasili kwa hapo jana katika eneo la Bunge la Odhaya kaunti ya Njeri,mjini Nairobi nchini Kenya. Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt...
View ArticleArticle 13
WANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI WAJIUNGA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa, kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Joyce Hagu (wa...
View ArticleDC wa Wilaya ya Shinyanga akabidhi hati 92 za kimila
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Josephine Matiro akimkabidhi Anna Kadilana mkazi wa kijiji cha Nyida hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna alisema, "Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa...
View ArticleFastjet Yachukua ubingwa wa bonanza la Fastjet sport extra
.Wachezaji wa Timu ya fastjet (wenye jezi nyeusi) wakichuana na wachezaji wa timu ya Diamond Trust Bank(DTB) wakati wa mashindano ya bonanza la fastjet sports Extra katika viwanja vya TCC Chang’ombe,...
View ArticleTANZIA: ANKAL MICHUZI AFIWA NA MWANAE
Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa,...
View ArticleArticle 9
WATANZANIA KUSHUHUDIA COPA AMERICA LIVE KUPITIA STARTIMES Meneja Uhusiano wa Kampuni ya StarTimes Tanzania, Mohamed Kimweri (kushoto), akizungumza katika na waandishi wa habari Dar es Salaam leo,...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA JENGO LA KITEGAUCHUMI LA MFUKO WA PENSHENI PPF...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akikata utepe kuzindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni (PPF) lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016....
View ArticleArticle 7
PRESS RELEASECEOs from the Coca Cola Company, Nestlé, Tesco, Alibaba and more to attend the 60th Global Summit of the Consumer Goods Forum in Cape Town this yearConsumer Goods Forum Global Summit...
View ArticleArticle 6
Tunasikitika kuwatangazia msiba wa Mtanzania mwenzetu Bi Mwasaburi Hajikilichotokea Jumamosi jioni huko Glasgow Scotland.Mipango ya mazishi inaendelea na mtajulishwa tarehe ya mazishi.Msiba uko...
View ArticleMAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA UME
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata ufafanuzi wa mikakati ya uwekezaji kwenye miundombinu ya umeme wa gesi asilia na jua kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KOYO ya Japan, Bw. Norio Shoji wakati...
View ArticleArticle 4
Dk. Sophia Mlote, mkazi wa Kinyerezi Zimbili jijini Dar es Salaam akiweka sawa vifaa mbalimbali kwenye banda lake la kilimo ambamo amepanda nyanya. Dk. Mlote anatekeleza kilimo hai kupitia mradi wa...
View ArticleMGODI WA DHAHABU WA BULHANHLU WAINGIA MAKUBALI
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Graham Crew akibadilishana hati za makubaliano na Afisa Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa,Dkt Ellen Mkondya wakati wa hafla ya makabidhiano ya hati hizo...
View Article