Abiri wa 2 mtu na mpenzi wake waanzisha varaghati dereva wa kijana akiwa na mpambano na mpezi wake dereva hajui jinsi ghafla kijana akaivamia hiyo bodaboda na kumteremsha huyo mpenzi na na kumnyanganya begi alilochukua hii ilitokea eneo la Mbagara rangi tatu
Hii ni sinema ilivyotokea wakigombea begi
msela amefanikiwa kumnyaganya
Dada hajakubali huku akitaka begi lake
kijana akidai u hulipati begi hili
msela alisikika akisema usinifate nitakupasua
hupati naondoka
dada anasema nakuomba begi langu
usinijue
Hii ni sinema ilivyotokea wakigombea begi
msela amefanikiwa kumnyaganya
Dada hajakubali huku akitaka begi lake
kijana akidai u hulipati begi hili
msela alisikika akisema usinifate nitakupasua
hupati naondoka
dada anasema nakuomba begi langu
usinijue
Dada amnadai unanifanyia kitendo hichi MZUKA WA FUNGO BLOG ILIISHIA HAPO KILICHOENDELEA ========== |