UINGEREZA YAIFAGILIA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA
Kaimu Muuguzi Mkuu wa taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, (JKCI), Flora Kasembe, (wapili kulia), akitoa maelezo ya namna wanavyohudumia wagonjwa waliolazwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi cha JKCI,...
View ArticleArticle 3
MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA 'KAMANDA' GABRIEL MWAIBALE Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Gabriel Peter Mwaibale aliyefariki juzi nyumbani kwao Mabibo jijini Dar es Salaam ambapo mazishi...
View ArticleArticle 2
UHURU WA VYOMBO VYA HABARI; TBN YATOA TAMKO KALIMwenyekiti wa muda wa Mtandao wa Wamiliki na waendeshaji mitandao ya kijamii nchini (TBN), Bw. Jochim MushiNa Mwandishi wetuChama cha...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleYANGA YAENDELEZA UBABE KWA BAO 3-1
klabu ya Yanga leo imeifunga timu ya stand ya united ya shinyanga baada ya kuifunga bao 3-1 donald Ngoma ameifungia timu yake mabao 2 katika kipindi cha kwanza hamisi Tambwe amefunga bao la tatu...
View ArticleKUTANA NA ‘GREEN VOICES’, SAUTI ZA AKINAMAMA WAPA
Akinamama wanaoshiriki katika mradi wa kupaza sauti za wanawake wanaopambana na mabdiliko ya tabianchi – Green Vocies katika picha ya pamoja na viongozi wa Foundation For Women of Africa na wafadhili...
View ArticleHUAWEI YAUNGANA NA WATENGENEZAJI MASHUHURI WA KAMERA
: Huziangyang Jacko, Meneja wa Huawei nchini Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI29Aprili 2016Dar es SalaamMkakati wa Huawei katika kubadili...
View ArticleArticle 2
TAASISI YA MISAADA YA KIJAMII YA HAMISI KIGWANGALLA KUMSOMESHA GETRUDE CLEMENTMwanzilishi wa Taasisi ya Misaada ya Kijamii ya Hamisi Kigwangalla, Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na...
View ArticleArticle 1
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA NCHINI (TIRA) YAKUTANA NA WADAU WAKE JIJINI MBEYA Meneja wa Kanda Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Nchini (TIRA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Ndugu Hiraly Maskini akifungua...
View ArticleArticle 0
WAKULIMA WA MPUNGA KILOMBERO WAPATA MKOPO WA MILIONI 890 KUTOKA TADBMkurugenzi wa Mikopo na Biashara wa TADB, Bw. Robert Paschal (aliyesimama) akihutubia wakulima wadogo zaidi ya 340 (hawapo pichani)...
View ArticleArticle 16
MIKADA YA UBINGWA WA DUNIA WATAKAYOGOBANIA MASHALI/CHEKA YAWASILI NCHINI KUGOMBANIWA MAY 14 TAIFAMratibu wa mpambano wa ungingwa wa Dunia wa U.B.O Anton Rutta katikati akionesha mikanda ya ubingwa...
View ArticleKIBAKA AKIWA CHINI YA ULINZI
Kijana ambaye jina lake halikufahamika maramoja akiwa chini ya ulinzi wa Askari waliopo eneo la jengo la Mifugo kumdhibiti kijana huyo mara alipotuhumiwa kuiba Compyuta mpakato na simu ya mkononi na...
View ArticleArticle 14
BILIONI 6 ZA RAIS DK. JOHN MAGUFULI KUNUNULIA MADAWATI ZAIBUA MAJIPU JESHINI Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Edosama Wood, Research Center cha Kinyerezi jijini Dar es Salaam, Edward Maduhu...
View ArticleBONDIA VICENT MBILINYI AJITAHALISHA NA MPAMBANO WAKE WA JUNE 4
Na Mwandishi WetuBONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini rasmi kwa ajili ya mazoezi yake ya mpambano ujao atakapo zipiga naBondia Msafiri Haule katika mpambano wa raundi sita utakaofanyika juni 4 mwaka...
View ArticleMAMIA WAMZIKA ANDREW NICKY SANGA (KING DREW) DODOMA
Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga Enzi za Uhai wake Mwili wa Mpendwa wetu Andrew Nicky Sanga (King Drew) ukiwa unawasili katika uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya Ibada na Kutoa kutoa Heshima za mwishoIbada...
View ArticleArticle 11
TAHAFE YATANGAZA TAASISI 31 ZITAKAZO PELEKA MAHUJAJI KWENDA KUHIJI MAKKA Mwenyekiti wa Shirikisho la Taasisi za Hijja Tanzania (TAHAFE), Sheikh Abdallah Khalid (katikati), akizungumza na waandishi wa...
View ArticleTimu ya Taifa ya mchezowa Roll yaenda Kenya
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Isere Sports inayouza vifaa vya michezo, Ismail Bura (kulia) akionesha Kocha Mkuu wa mchezo wa Roll, Aurher Haule sampuli ya sare za Taifa zinazofaa kuvaliwa na wachezaji...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA AKIWA KISALI MSIKITI WA GADAFF DODOMA LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya Sala Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa GADAFFI Mkoani Dodoma Leo Mei 6,2016....
View ArticleArticle 8
RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi...
View Article