Msanii Snura Mushi akizungumza na wandishi wa habari kuhusu adha waliyoipata kuhusu kufungiwa kwa wimbo wa CHURA Snura amewaomba radhi wa Tanzania wote tukio lililotokea kwa kufungiwa chura na kuwafahamisha wandishi wa habari kuwa hivi sasa ameshajiandikishwa Basata na kupata hati zinazohitajika kwa msanii na Ule wimbo wa chura nimelekezwa kufanyia marekibisho sehem mbalimbali za wimbo huo nawashukuru watanzania wote pamoja na wanahabari kujitokeza kwa wingi leo Snura akiwa na Meneja wake Hemed Kavu maarufu HK
↧