timu ya yanga imefanikiwa kuifunga timu ya joachim kwa mabao 2 -0 katik mchezo wa ligi ya mabingwa ya Afrika mchezo wa uliochezwa katika uwanja wa Taifa leo kwa hiyo yanga imeshinda jumla ya mabao 3-0 kutokana na goli ya ugenini iliposhinda mchezo wa awali kwa ushindi wa leo yanga imeingia raundi ya kwanza na kucheza na timu za swaziland ama Rwanda
↧