JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo,...
View ArticleKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI JOHN KIJAZI APOKEA KWA NIABA YA RAIS KANUNI ZA...
ka1: Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi akimpa muhtasari Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kabla ya kumkabidhi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017...
View ArticleMakamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo alijumuika na Viongozi pamoja...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi...
View ArticleSHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR ZA FANA
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika sherehe za miaka 54 ya...
View ArticleLEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA MDAU MUGANYIZI BISHEKO
Leo January 12, 2018 ni siku ya kuzaliwa kwa Ofisa Masoko Mwandamizi wa Bank of Africa Tanzania, Muganyizi Bisheko. Wote kwa pamoja tunapenda kukutakia heri na fanaka. Mwenyezi Mungu akujalie maisha...
View ArticleArticle 1
Matumizi ya Kikoa cha Dot Tz na Dot Afrika Kukuza Uchumi wa AfrikaNa Lilian Lundo na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DODOMA12/01/2018Watanzania washauriwa kusajili na kutumia kikoa cha dot tz (.tz) na dot...
View ArticleMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA...
. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini...
View ArticleRAIS JOHN POMBE MAGUFULI AGAANA NA MGENI WAKE
Jan 15 at 1:05 PMMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es...
View ArticleArticle 2
Njia ya Reli ikiwa katika hali mbaya baada ya kusombwa na maji ya mvua zilizonyesha nchini majuzi na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya vijiji vya Morogoro.
View ArticleHALMASHAURI YA MBOZI YATEMBELEWA NA NAIBU WAZIRI
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) akisalimiana na wanawake wajasiriamali wa kikundi cha Mafanikio kilichopo katika Halmashauri ya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAWAZIRI WA ELIMU NA TAMISEMI, APIGA MARUFUKU...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani S. Jafo na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ATEMBELEA UJENZIUKUTA WA BAHARI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema mazingira yanatuadhibu kutokana na uharibifu unaofanywa na mwanadamu.Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa ukaguzi...
View ArticleKAMATI ZA BUNGE DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo ambapo leo walikuwa wakijadili ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuhusu utekelezaji wa...
View ArticleMAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDOMAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO
Sisi, Familia ya Mrs Bdariya Ramadhan Kiondo (Aliekuwa Afisa waMambo ya Nje Mkuu na Mkuu wa Utawala na Fedha katika Ubalozi wa Tanzania New Delhi, India, tunamshukuru Mungu kwa zawadi aliotupa kwetu...
View ArticleArticle 4
MAADHIMISHO YA SIKU YA POSTA AFRIKA LEO TAREHE 18 JANUARI, MWENYEKITI WA BODI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC), DK. HARUN KONDO ATOA SALAMU ZAKE Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC),...
View ArticleArticle 3
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Kijana mzalendo, Omary Kombe amejipanga kutembea kutoka Kimara hadi Kivukoni siku ya Jumamosi, Januari 20, 2018 ili kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano...
View Article