Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI WA (CCM) HUMPHREY POLEPOLE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
 . Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole Ikulu jijini Dar es Salaam.





Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles