Waziri mkuu Mhe Majaliwa asema wanaojichomeka eneo la mgodi ili wapate Fidia...
Waziri mkuu wa tanzania Mhe. Kassm Majaliwa (Katikati) akizungumza na baadhi ya viongozi mkoani Njombe katika eneo la Liganga nyuma yake ni Mawe yanayo daiwa kuwa na Chuma Cha liganga Waziri Mkuu Wa...
View ArticleArticle 2
SERIKALI YAWAKALIA KOONI WATUMISHI WA HALMASHAURI YA LUDEWAWananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa wakilizuia gari la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakimtaka asimame na kuwasalimia alipokuwa...
View ArticleArticle 1
: WAZIRI NAPE NNAUYE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA GAZETI LA HABARI Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiwa ameongozana na Mhariri Mtendaji...
View ArticleROBO FAINAL AFCON 2017
Robo fainali ya michuano AFCON 2017 mwishoni mwa wiki Bukinafaso v Tunisia Senegal v Cameroon,Congo v Ghana,Egypt v Morocco
View ArticleMABONDIA MBWANA MATUMLA NA MESHACK MWANKEMWA WATAMBA KUWADUNDA MABONDIA
Bondia Mbwana Matumla kushoto akielekezwa kupiga ngumi na Said Abdulghafoor wakatio wa mazoezi ya Matumla ya kutambulisha mpambano wake na Seleiman Shabani utakaofanyika Feb 5 katika ukumbi wa uwanja...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AELEKEA ADDIS ABABA, ETHIOPIA, KWENYE MKUTANO WA 28
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo...
View ArticleTAMASHA LA "MAJIMAJI FLAVA" LAFANA
Kaimu Mkurugenzi Kitengo cha Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi. Leah Kihimbi ambaye alimwakilisha Mhe. Waziri Nape Nnauye akitoa maoni yake kuhusiana na igizo la Tamasha la...
View ArticleSERIKALI KUANDAA SERA YA LUGHA.
Na Raymond Mushumbusi WHUSMSerikali kupitia Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo imeanza rasmi kuandaa Sera ya Lugha ambayo itatoa muongozo kwa taifa kuhusu masuala yote ya maendeleo ya Lugha...
View ArticleSEFUE ATEULIWA
Mwanadiplomasia mahiri wa Tanzania aliyepata pia kuwa Katibu Kiongozi-Ikulu, Balozi Ombeni Sefue ameteuliwa kuwa Mtanzania wa kwanza kuingia katika Jopo la Watu Mashuhuri katika Mpango wa Afrika...
View ArticleArticle 2
BREAKING NEWS:TRENI YA ABIRIA DELUX IMEANGUKA JIONI HII, ILIKUWA IKITOKA KIGOMA KUJA DAR ES SALAAMNA K-VIS MEDIA/Khalfan SaidTRENI ya mwendo haraka, (DELUX), iliyokuwa ikitokea Kigoma kuja jijini Dar...
View ArticleArticle 1
RAIS MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIARais wa...
View ArticleTAARIFA YA TANZIA KWA WANANDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA FAMILIA YA BINAGI
MWANZILISHI WA MTANDAO HUU (BINAGI MEDIA GROUP), NDUGU GEORGE BINAGI, ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI, LEAH DANIEL BINAGI (PICHANI) KILICHOTOKEA USIKU WA JUMAPILI TAREHE 29.01.2017 HUKO...
View ArticleCUF YA PROFESA LIPUMBA YAJIBU MAPIGO KUHUSU RUZUKU WALIYOPEWA NA HAZINA
Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi (Taifa) wa Chama cha Wananchi (CUF), Thomas D.C Malima (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam leo...
View ArticleArticle 0
JUMIA TRAVEL YAJIKITA KATIKA UTALII<JUMIA TRAVEL YAJIKITA KATIKA UTALII Na Jumia Travel TanzaniaMwaka wa 2016 ulikuwa wenye mafanikio makubwa kwa sekta ya utalii duniani ambapo kwa mujibu wa ripoti...
View ArticleArticle 6
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WENZAKE WA MATAIFA YA AFRIKA PEMBEZONI MWA MKUTANO WA 28 WA AURais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...
View ArticleArticle 5
SHIRIKISHO VYUO VYA ELIMU YA JUU-CCM, LAWATAKA VIJANA KUZIDISHA UADILIFU NA UZALENGO KUKIDHI LENGO LA RAIS DK. MAGUFULIKaimu Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu, Daniel Zenda...
View ArticleArticle 4
MUSWADA WA HUDUMA YA KISHERIA WA MWAKA 2016 WAPITISHWA NA BUNGEWaziri wa Sheria na Katiba, Dkt.Harrison Mwakyembe.Na: Lilian Lundo – MAELEZO – DodomaBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Mjini...
View ArticleArticle 3
TaGLA YAWEZESHA MAFUNZO YA KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI KWA NJIA YA VIDEO Mratibu wa Mafunzo ya Mabingwa wa Tiba ya Mifupa nchini (SICOT , Société Internationale de Chirurgie Orthopédique et de...
View ArticleArticle 2
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Awasili Jijini Dar es Salaam Akitokea Nchini Addis Ababa Kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Afrika AU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleArticle 1
Waziri Mkuu Akiwa Viwanja vya Bunge Dodoma leo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe.Ridhiwani Kikwete wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge wakibadilishana mawazo...
View Article