SERIKALI YAWAKALIA KOONI WATUMISHI WA HALMASHAURI YA LUDEWA
Wananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa wakilizuia gari la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakimtaka asimame na kuwasalimia alipokuwa akienda mjini Ludewa kutoka mgodi wa chuma wa Liganga.Mheshimiwa majliwa alisimama na kuwahutubia. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Halmashauri, mjini Ludewa. Picha/Habari na Ofisi ya Waziri Mku |