Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Baadhi ya Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao Ofisini kwake mjini Dodoma, Novemba 21, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao alichokiitisha kati yake na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Mistitu, Ofisini kwake mjini Dodoma Novemba 21, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Novemba 21, 2016 asubuhi aliamua kutembea kwa mguu kutoka makazi yake yaliyopo Kilimani hadi Ofisini kwake barabara ya Reli mjini Dodoma . Pichani, Mheshimwa Majaliwa akiwa na wasaidizi wake akilekea Ofisini kwake. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)