HII NDIYO RATIBA YA LIGI KUU ENGLAND 2016-2017
UTAMU unakaribia. Ratiba ya Ligi Kuu ya England kwa msimu mpya wa 2016-2017 imetoka, ambapo Liverpool imepewa mtihani wa kuanza nyumbani kwa Arsenal Agosti 13,, huku Chelsea wakiwa na Kocha Mpya...
View ArticleHospitali ya Amana yaboresha huduma zake
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZOHospitali ya Rufaa ya Amana Jijini Dar es Salaam imeboresha huduma za afya kwa kuweka mashine maalumu ya kutibu meno ijulikanayo kama (Ceramic dental machine) lengo ikiwa...
View ArticleWAZIRI WA HABARI ATEMBELEA WIZARA HIYO LEO
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye wakati akiwasili katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO...
View ArticleArticle 0
JK BALOZI WA HESHIMA MAENDELEO YA KILIMO, AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKIMwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya Nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea barua ya...
View ArticleArticle 5
NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON, AMTEMBELEA MTOTO TULIA, NI YULE WA MBUNGE WA MKURANGA ABDALLAH ULEGENaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, (kushoto), akimbeba motto...
View ArticleArticle 4
MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AAHIDI KUSOMESHA WATOTO 100 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan akipitia kitabu cha Binti Foundation wakati wa Tamasha Fadhili Mtoto Asome...
View ArticleArticle 3
Na Mwandishi wetu Washington Makamo wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar na Katibu mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), maalim Seif Sharif Hamad, jana alimaliza ziara yake nchini Marekani iliyochukua...
View ArticleArticle 2
KUPANDA MABASI YA MWENDO WA HARAKA JIJINI DAR ES SALAAM SASA NI KWA KADI HUDUMA HIYO KUANZA RASMI KESHO Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Udart), David Mgwasa...
View ArticleArticle 1
IGP MANGU AKAGUA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA KUPOKELEA SIMU ZA DHARURA (CALL CENTRE) CHA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAMMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa maelekezo kwa...
View ArticleArticle 0
KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AKAGUA MPAKA WA KENYA NA TANZANIA ALIPOTEMBEELA KITUO CHA UHAMIAJI HOROHORO Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (aliyevaa kiraia),...
View ArticleArticle 1
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Deodatus Kinawiro akizungumza jambo wakati wa harambee ya uchangiaji wa madawati kwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano John Pombe Magufuli kwaniaba ya Wilaya yake...
View ArticleArticle 0
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) chini ya mkakati wa kukuza uwazi na uwajibikaji katika sekta ya ujenzi Tanzania (CoST -Tanzania) limepanga kuimarisha uwazi na...
View ArticleKatibu Mkuu Wizara ya Habari, Prof Elisante Ole Grabriel atembelea Mikoa ya...
Pix 1 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, kijiji cha Mtama (hawapo pichani) wakati wa ziara...
View ArticleArticle 3
- BREAKING NEWS: WAZIRI WA AFYA , MAENDELEO YA JAMII , JINSIA, WAZEE NA WATOTO ATEMBELEA VIJIJI VILIVYOKUMBWA NA MLIPUKO WA UGONJWA USIOJULIKANA WILAYANI KONDOA. Waziri wa Afya,Maendeleo ya...
View ArticleBUNGENI LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, bungeni mjini Dodoma Juni 20, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS NA MCHUMI MMKUU WA BENKI YA DUNIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki...
View ArticleArticle 0
Mratibu wa mradi wa Shuga akijibu maswali yaliyokua yanaulizwa na kikundi cha wasikilizaji cha Iwawa- Makete mkoani NjombeWakionyesha furaha zao baada ya kuelewa mada ya siku ukihusianisha na maisha...
View ArticleTAA YAADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI KWA IDARA YAKE YA
Meneja Rasilimali Watu Mafunzo wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Abdul Mkwizu (kulia) akimpa maelezo kuhusu mafunzo Ally Zongo, mfanyakazi wa taasisi hiyo, kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi...
View Article2 oBodi ya Filamu yakutana na wadau wa filamu katika kuadhimisha wiki ya...
Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula (kulia) akifafanua hoja za kisheria katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini ikiwa ni...
View Article