Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

WAZIRI WA HABARI ATEMBELEA WIZARA HIYO LEO

$
0
0

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye wakati akiwasili katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO ili kuzungumza na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini Leo Jijini Dar es Salaam.

- Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini Leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (katikati) akiongea na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini (hawapo pichani) ambao aliwataka kutengeneza mikakati madhubuti itakayoimarisha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Jamal Zubeir.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (katikati) akiongea na Wakuu wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini (hawapo pichani) ambao aliwataka kutengeneza mikakati madhubuti itakayoimarisha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Jamal Zubeir.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles