Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula (kulia) akifafanua hoja za kisheria katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw.Simon Mwakifwamba akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi.
Muandaaji na msanii wa filamu nchini Bw. William Mtitu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.