$ 0 0 Mchezaji wa Simba Ibrahim Ajib aifungia bao klabu yake katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom dhidi ya Ndanda fc goli hilo lilifungwa katika kipindi cha pili mfungaji akiwa Ibrahim Ajibu kwa hiyo Timu ya Simba imekwea nafasi ya tatu