Timu ya wekundu wa msimbazi mpaka hivi dakika ya 60 bado bila bila dhidi ya ndanda fc katika mchezo wa ligi kuu unaochezwa katika uwanja wa Nangwanda sijaona katika mchezo huo unaondelea kulitokea vurumai kati ya mashabiki wa Simba kuvamia jukwaa la Ndanda FC na kutokea mshikemshike na patashika ENDELEA KUSOMA MZUKA TUTAWALETEA MATOKEO
↧