Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

HARUNA NIYONZIMA AVUNJIWA MKATA NA YANGA

$
0
0
Klabu ya yanga imevunja mkataba wa mchezaji wake wa kimataifa Haruna Nionzima leo  kwa mujibu wa msemaji wa klabu hiyo Jerry Muro akiongea na wandishi wa habari katika klabu hiyo na kusema Nionzima atapaswa kulipa kiasi cha fedha za kitanzania shs 149 milioni  na kuongeza klabu yeyote itakapo mtaka mcheza huyo alipe kwanza kiasi hicho ndipo atamchukua

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles