Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Article 6


 

Wengine walioapishwa ni Profesa Jumanne Maghembe, ambaye anakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Joyce Ndalichako anayekuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Injinia Gerson Hosea Lwenge, ambayeanakuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ameapishwa kuwa Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,
 Dkt. Magufuli akimuapisha Profesa Makame Mnyaa Mbarawa

Rais Dkt. Magufuli, (watatu kushoto), Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, (wapili kushoto), Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa, (Wanne Kushoto),Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, (wakwanza kuhoto), na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mh. George Masaju, (wakwanza kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na mawaziri hao walioapishwa kutoka kushoto mstari wa nyumba, Dkt. Joyce Ndalichako, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, Profesa Jumanne Maghembe, Dkt. Philip Mpango, Injinia Gerson Lwenge, na Injinia Hamad Masauni
 Mawaziri wapya walioteuliwa mwishoni mwa wiki wakisubiri kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ikuli jijini Dar es Salaam,leo Desemba 28, 2015. (Picha na OMR) 



Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, (kulia), na Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, (katikati), wakimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh. George Masaju 
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Baadhi ya mawaziri wakijadiliana
  wakati Injinia Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Rais amekamilisha baraza lake la mawaziri lenye jumla ya mawaziri na naibu mawaziri 34 ikiwa ni nusu ya idadi ya baraza la mawaziri al serikali ya awamu ya nne ya Dkt. Jakaya Kikwete. (Picha ya kwanza juu Dkt. Magufuli akimuapisha Dkt. Philip Mpango.


Image may be NSFW.
Clik here to view.
Dkt. Magufuli akimuapisha Profesa Jumanne Maghembe
 Dkt. Magufuli akimuapisha Dkt. Joyce Ndalichako

 Dkt. Magufuli akimuapisha Injinia Gerson Lwenge
Dkt. Magufuli akimuapisha Injinia Hamad Masauni

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles