Article 0
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAANDAA "KISAIKOLOJIA' WAKAZI WA DODOMA KUIPOKEA SERIKALI KUUWaziri Mkuu, Kassim Majjaliwa akizungumza na wazee, wafanyabiashara , viongozi wa dini na wanachi wa Dodoma kuhusu...
View ArticleBREKING NEWZZZ MPIGA PICHA MKUU WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA AFARIKI DUNIA
Mpiga picha mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima Joseph Senga amefariki dunia huko nchini India alikokwendakwa ajili ya matibu picha enzi ya uhai wake mungu ailaze roho yake pahala pema sote...
View ArticleArticle 4
BENDI 10 MAARUFU ZA MUZIKI WA DANSI KUWASHA MOTO JUMAMOSI VIWANJA VYA LEADERS NI KATIKA TAMASHA KUBWA LA MUZIKI WA DANSI Mwanamuzi wa mziki wa dansi, Ali Choki akiwaongoza wenzake kutoa burudani...
View ArticleArticle 3
MRADI WA HARAMBEE NI MKOMBOZI WA WANANCHI WA KIJIJI CHA CHOLE, MAFIA - PWANIMwenyekiti wa Kijiji cha Chole, Shehari Ahmadi akielezea waandishi wa habari maendeleo ya kijiji cha Chole ikiwa ni pamoja na...
View ArticleNAIBU WAZIRI HAMAD MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MKAKATI WA KUPUNGUZA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika kikao cha Baraza hilo cha kujadili Mkakati...
View ArticleArticle 1
HOMA YA INI B NA C KUTOKOMEZWA IFIKAPO MWAKA 2030 Baadhi ya vijana waliokuwa wakitumia dawa za kulevya wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kutokomeza homa ya ini wakielekea kwenye...
View ArticleArticle 0
JITOKEZENI KUSAIDIA MAKAZI YA WAZEE NA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na wazee alipotembelea Makazi ya...
View ArticleMAJALIWA AKABIDHIWA MADAWATI KWA AJILI SHULE ZA DAR ES SALAAM LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wa Temeke baada ya kuwasili kwenye Shule ya Msingi ya Chamazi kukabidhiwa madawati na fedha shilingi milioni 100 kwa ajili ya Shule za Dar es...
View ArticleArticle 1
kurugezzi wa Camel Oil Mahfoudhakiongea na wandishi wahabari Kampu ya Camel Oil imesema uuzwaji wakiwanja namba 130 nkilichopo Block A Manzese jijini Dar essalaam ulizingatia taaratibu zote za...
View Articleuzinduzi wa tiketi eletronic
ix 01: Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma ya ukataji tiketi za mabasi yaendayo...
View ArticleMWILI WA MPIGA PICHA MKUU JOSEPH SENGA KUWASILI LEO MCHANA
Mwili wa aliekuwa mpiga picha mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima Jopseph Senga kuwasili leo majira ya saa saba mchana katika uwanja wa ndege
View ArticleArticle 5
WASANII WAASWA KUZINGATIA MAADILI KATIKA UTENGENEZAJI WA KAZI ZAONaibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania...
View ArticleArticle 4
MAZOEZI MAKALI YANAENDELEA KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM KARIAKOOMabondia Faraji Sayuni kushoto na Hassani Kiwale wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao yanayoendelea...
View ArticleMAJALIWA AMTEMBELEA SPIKA
\ Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi...
View ArticleArticle 2
SKY SPORTS YAUNGANA NA STARTIMES KUONYESHA LIGI YA CHINA Na Dotto MwaibaleKituo cha matangazo ya luninga cha Sky Sports cha nchini Uingereza katikati ya wiki hii kilisaini mkataba mnono wa kuonyesha...
View ArticleMWILI WAMAREHEM JOSEPH SENGA WAWASILI LEO
JENEZA LENYE MWILI WA SENGA LIKIINGIZWA KWENYE GARI MARA BAADA YA KUWASILI LEO MCHANASHANGAZI WA MAREHEM SENGA AKILIA HAPO UWANJA WA NDEGE MKURUGEZI MTENDAJI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA NEVIL MEENA...
View ArticleArticle 0
RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA BAGAMOYO, ASEMA HAKURIDHISHWA NA UTENDAJI WAKE WA KAZI Bi Azimina Mbilinyi
View ArticleWAKAZI WA PUGU,GONGOLAMBOTO WANUFAIKA NA TREN YA MWAKEMBE LEO
KHAMISI KUSSA;TRENI ambayo imeanza kutoa huduma zake kwa safari ya kuanzia Stesheni ya Dar es Salaam hadi pugu, imeanza kutolewa leo katika stesheni hiyo ambayo itakuwa ikitoa huduma kwa mara 3kwa...
View ArticleArticle 2
KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YAANZISHA KIFURUSHI KIPYA MAHSUSI CHA MIITO NA DATA KATIKA TAMASHA LA FIESTA 2016 Meneja Chapa wa Kampuni ya Simu ya Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika mkutano na...
View ArticleWASANII, WATANGAZAJI NA WATU MAARUFU KUVUNA MAPESA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Aggrey and Clifford, Rashid Tenga alielezea machache mbele ya wageni na waandishi wa habari waliohudhuria uzinduzi huo juu ya huduma mpya ya matangazo katika bara la Afrika...
View Article