kurugezzi wa Camel Oil Mahfoudh akiongea na wandishi wahabari Kampu ya Camel Oil imesema uuzwaji wakiwanja namba 130 nkilichopo Block A Manzese jijini Dar essalaam ulizingatia taaratibu zote za kisheria kwahiyo kiwanja hicho Camel Oil ilifuata taratibu zoteza uuzwaji wa kiwanja baada ya miliki waawali Mzee Mohamed Fakh kushindwa kulipa demni lililokuwalinadaiwa awali