$ 0 0 Askof polcap pengo akiwa katika ibada ya kongamano la maadhimisho ya watoto mashahidi wakiwakumbuka waliouawa maadhimisho hayo yalifanyika katika kanisa liliopo Pugu sekondari leo Askof pengo akitoa hutuba yake