Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, (wapili kushoto), na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, na Mbunge wa Dodoam mjini, Anthony Mavunde, wakwia tayari wameweka shada la mauwa kwenye kaburi la marehemu Mpoki Bukuku kwenyemakaburi ya familia huko Msalato, nje kidogo ua Manispaa ya Dodoma Desemba 27, 2016.
Wazzi wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye kaburila mwanao
![]() |
Mke wa marehemu akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe |
Waombolezaji wakilishusha kaburini, jeneza lenye mwili wa marehemu Mpoki Bukuku "Sumo", aliyekuwa mpiga picha mwandamizi wa kampuni ya The Guardian Limited, kwenye makaburi ya familia huko Msalato nje kidogoya Manispaa ya mji wa Dodoma leo Desemba 27, 2016.