Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Article 7

$
0
0
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri Mkuu wa India, Mhe. Modi mara baada ya kuwasili nchini Saa 5 usiku Julai 9, 2016.
 Waziri M,kuu Modi, akiwapungia raia wa India waishio nchini wakati wa mapokezi yake
 Waziri Mkuu Modi, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
 Waziri Mkuu Modi, akisalimiana na Balozi Kairuki
 Waziri Mkuu Modi, akipokewa nanWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Waziri Mkuu Modi, akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere akitokea nchini Afrika Kusini

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles