Ndugu Mhariri napenda kukutaarifu kuwa kesho tarehe 11 Julai 2016 waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na ichezo Mhe. Nape Moses Nnauye atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya wuwezeshaji wa wasanii Afrika Mashariki itakayoanza saa nne kamili asubuhi katika ukumbi wa British Council. unaombwa kushiriki kwa kuleta mwandishi na mpiga picha. asante tunashukuru kwa ushirikiano wako MAELEZO
↧