Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (mashariki)Tundu Lissu amefikishwa mahakamani kituhumiwa kwa uchochezi hata hivyo ameachiwa huru kwa dhamana nipashe wakati huohuo watu watatu wanaodaiwa kuwa na mabango yenye kukashifu Polisi wamekamatwa kwenye eneo la mahakama ya kisutu ljijini Dar es salaam leo wakati huo huo waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetoa vibali 80 vya uingizaji Sukari nchini huku tani 63,000 bidhaa hiyo zikisambazwa nchi nzima NIPASHE
↧