Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kuzungumza nao kwenye makazi yake mjini Dodoma Juni 30, 2016. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Damiana Lubuva.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) | |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hoja ya kuahirisha bunge, bungeni mjini Dodoma Juni 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kutoa hoja ya kuahirisha bunge, bungeni mjini Dodoma Juni 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu |