Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Wekundu wa Msimbazi Simba leo watakuwa na kibarua kinene katika kutetea Ubingwa wake na kulinda hadhi ya kuwa timu hiyo ndio Bingwa wa mashindano hayo mchezo huo utakaowakutanisha wakusanya kodi kutoka nchini Uganda URA ambayo katika kundi A ndio inayongoza kuwa na poiti 3 ikifuatiwa na Wekundu wa msimbazi wenye poiti 1 kwa kila timu imeshacheza mchezo mmoja
![]() |
kikosi cha timu ya Uganda URA kitakachoshuka dimbani leo kupambana na Wekundu wa msimbazi SIMBA SPORT |
![]() |
Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Simba Sport leo kinatetea taji lake kwenye uwanja wa Amani Zanzibar |