Timu za Yanga na Azam zimetoka sare goli 1-1 katika mchezo wa kombe la mapinduzi uliochezwa kwenye uwanja wa Amani Zanzibar leo usiku katika kundi A yanga inaongoza kuwa na poit 4 na magoli 4 na kufungwa goli 1 kesho Simba inacheza na ura ya uganda
↧