Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Article 6

KAMANDA WA KANDA MALUM KAMISHNA SULEIMAN KOVA 31, 2015 NAFASI YAKE INACHUKULIWA NA SIMON SIRO 



Na K-Vis Media/Khalfan Said
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya  Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi, (CP), Suleiman Kova, (pichani juu), anamaliza muda wake wa kulitumikia jeshi la Polisi leo KWA KIPINDI MIAKA 40 Desemba 31, 2015 na hivyo kuanza maisha ya uraiani kuanzia Januari 1, 2016, siku ya Jumamosi.
Kwa mujibu wa taarifa fupi iliyochapishwa kwenye mtandao wa serikali, (Government Portal), leo Desemba 31, 2015, bado haijajulikana nani atachukua nafasi yake lakini duru za kipolisi zinasema, aliyekuwa mkuu wa operesheni kanda maalum ya Dares Salaam, Simon Siro (Pichani chini) ndiye atachukua nafasi yake kuongoza jiji lenye changamoto nyingi katika suala la usalama wa raia na mali zao. CP Kova alijipatia umaarufu mkubwa miongozni mwa Waandishi wa Habari kutokana na jinsi alivyoweza kuvitumia vyombo vya habari kama moja ya nyenzo za kupambana na uhalifu jijini Dar es Salaam.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles