Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

YALIYOJIRI BUNGENI LEO MJINI DODOMA.

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles