Wabunge wa Makuwi Wabadilishana Uzoefu na Wawakilishi wa Baraza la Wawakilishi Wanawake Zanzibar.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Mgeni Hassn Juma akizungumza na Wajumbe wa Bunge la Makuwi Courtry Assembly Kenya walipofika kutembelea Ofisi za Baraza la Wawakilishi Zanzibar kubadilishana uzoefu wa kazi za kibunge wakiwa katika ziara Zanzibar.
Spika wa Bunge la Mukuwi Country Assembly Kenya Mhe Stephen NMutunga Nselu akizumgumza wakati wa mkutano wa kubadilishana uzoefu na Wawakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar walipofanya ziara ya kirafiki ya kubadilishana taaluma ya Kibunge kwa pande hizo mbili.