Wananchi wa Makambako mkoani Njombe wakishangilia wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi Januari 19, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa polisi katika mji wa Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 19, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vibanda vya biashara vya Magegele vinavyomilikiwa na Halmashauri ya Mji wa Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 19, 2017
Wananchi wa Makambako mkoani Njombe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi Januari 19, 2017.
Wananchi wa Makambako mkoani Njombe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi Januari 19, 2017.