Msanii, Ally Salehe 'Ali Kiba' akishambulia jukwaa wakati akitumbuiza kwenye tamasha la kutimiza miaka Miwili ya Chaneli ya Startimes Swahili tokea kuanzishwa Kwake. Tamasha hilo lililopewa jina la Serebuka Festival lililofanyika katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jana ambapo lilidhaminiwa na Kampuni ya Huawei Tanzania.
Msanii, Snura Mushi, akitumbuiza kwenye tamasha hilo.
Msanii, Juma Kassim 'Juma Nature, akitumbuiza kwenye
tamasha hilo.
Msanii Stamina akipagawisha kwenye tamasha hilo