Jumatano Agosti 10,2016, 11:00am – 1:00pm, Makumbusho (Imetazamana na IFM)
TwawezaInakualika katika
UZINDUZI
Ripoti | Je, nyota njema huonekana asubuhi?
Maoni ya wananchi juu ya huduma za afya zinazotolewa na awamu ya tano
Waendesha mada:
Prof. Kitila Mkumbo, Twaweza
Nellin Njovu, Twaweza
Wageni waalikwa: Dr. Deo Mtasiwa, TAMISEMI Dr. Flora Myamba, REPOA Mh. Ummy Mwalimu, Wizara ya Afya Paul Smithson, IFAKARA Dr. Jusajo Kajula, Hon. George Simbachawene,
Muda: 11:00am – 1:00pm (Saa tano asubuhi hadi saa saba mchana) Tarehe: Jumatano Agosti 10, 2016 Mahali: Makumbusho, (Imetazamana na IFM)
Kutakuwa na muda maalum utakaotengwa kwa ajili ya maswali na mahojiano kwa waandishi wa habari.