Baadhi ya wachezaji wa timu ya Medeama ya Ghana wakiwa wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa, Julius Nyerere Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shilikisho Afrika CAF dhidi ya Yanga Mchezo unao tarajiwa kuchezwa keshokutwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam huku kiingilio kikiwa ni 3,000 na 10,000. timu ya Yanga imeshusha viingilio hivyo kwa lengo la kufanya mashabiki wengi wahudhurie mchezo huo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
↧