Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MPANGO WA KITAIFA WA KITUO CHA MAWASILIANO CHA JESHI LA POLISI (CALL CENTRE)

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph akikagua kituo cha mawasiliano ya polisi (Call centre) katika kituo cha Kati jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi. .Pamoja naye ni Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Ndani Meja Jenerali Projest  Rwegasira, IGP Ernest manu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binfasi.

Sehemu ya wananchi na wadau waliohudhuria uzinduzi  wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi  viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest manu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binafsi

Sehemu ya wananchi na wadau waliohudhuria uzinduzi  wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi  viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest manu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binafsi.

binfasi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph akimkabidhi tuzo ya ufadhili Mkurugenzi Mtendaji wa TBA Bw. Elius Mwakalinga wakati wa  uzinduzi  wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi  katika viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest manu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binafsi.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph akihutubia  uzinduzi  wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi katika viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph akipata maelezo katika mabanda mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi (Call Centre) katika viwanja vya Bias=fra jijini Dar es salaam.. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest manu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binafsi

p16: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph akimkabidhi tuzo ya ufadhili  Bi. Edna Rajabu wa kwa  niaba ya Shirika la Utangazaji la TBC  wakati wa uzinduzi wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi  katika viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest manu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binafsi.

Add caption

p18 na p19:  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph akizindua Kituo kidogo cha Polisi kinachohamishika wakati wa uuzinduzi wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi (Call Centre) katika viwanja vya Bias=fra jijini Dar es salaam.. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest manu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binafsi.

Trending Articles