Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh Martini Shigella akizungumza na wenyeviti wa mitaa kuhusu kujadili masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika Jiji la Tanga,kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Ahmed na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Alhaj Abdulla Lutavi.
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Mustapa Selebosi akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa BMK Sahare Jijini Tanga |
Baadhi ya wenyeviti wa Mitaa mbalimbali Jijini Tanga wakiwa ukumbini tayari kumsikiliza RC Shigella |
Kulia ni Msaidizi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Amiri Mkapanga akifuatilia kwa umakini maelekezo wa RC Shigella kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kwenye Jiji la Tanga. |