Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi ameimabia RFI Kiswahili kuwa, viongozi wa kisiasa kutoka serikali na upinzani wamekubaliana uchaguzi Mkuu kurudiwa tena.
Hata hivyo, Makamu huyo wa pili amedokeza kuwa hadi sasa haijaafikiwa ikiwa tume ya sasa ya Uchaguzi inayoongozwa na Mwenyekiti Salim Jecha Salim aliyefuta matokeo hayo itakubaliwa kusimamia uchaguzi mpya.
Katika hatua nyingine, kiongozi huyo ameeeleza kuwa rais Ali Mohamed Shein anaendelea kuwa uongozini kikatiba.
Wananchi wa Zanzibar wanasubiri uamuzi wa viongozi wa kisiasa kuhusu mvutano huu wa kisiasa katka visiwa hivyo.
SMS
+255(0)772 55 55 53
LISTEN LIVE
http://myradiostream.com/FocusRadioTz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
FACEBOOKLISTEN LIVE
http://myradiostream.com/FocusRadioTz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
http://bitly.com/1zIiIkq
http://bit.ly/1678Vq2
WEBSITE
http://www.nec.go.tz
http://www.nec.go.tz