Timu ya Simba imetoka sare bila kufungana na timu ya Azam bila bao katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa leo mchezo huo uliokuwa mgumu kutokana kila timu kukamiana pamoja na rafu za hapa na pale kwa pande zote mpaka kipenga cha mwisho Simab ziro na Azam ziro
↧