Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

BREKING NEWZZZ LIGI KUU YANGA 2.-1 TOTO

$
0
0
Timu ya yanga  leo imeifunga timu ya TOTO African bao 2-1 ya mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom mchezo uliochezwa katika uwanja wa  ccm kirumba  toto ndio ya kwanza kupata bao katika kipindi cha kwanza  mpaka mapumziko toto iliongoza kipindi cha pili  Hamis Tambwe aliifungia bao la kusawazisha na Juma Abdul akaipatia bao la pili katika piga ni kupige 

katika uwanja wa Nyamagana Tanga timu ya African Sport ikicheza pungufu imeizamisha wapinzani wao wa jadi Coast Union kwa bao 1-0 bao lililofungwa katika kipindi cha pili 


Timu ya Mwadui imeifunga bao 2-1 Stand  united  na
Timu ya Prison  imetoka sare  jkt Ruvu  bao 1-1   Mtibwa imeifunga   Mbeya city bao 1-0

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles