Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia)akijumuika na Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo katika msikiti wa Khinani,Wilaya ya Magharibi 'A'Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.[Picha na Ikulu.]à![]()

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto)akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A',Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja![]()

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (Gavu) akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja![]()

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Sif Ali Iddi(katikati)pamoja na wananchi na wanaCCM wakiitkiia dua iliyoombwa baada ya mazishi ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo aliyekuwa wenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi 'A' Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja![]()
