Mizhezo ya nusu fainal ya kuwania kombe la shirikisho iliyochezwa Katika uwanja wa kambarage kati ya timu ya Azam na Mwadui imemalizika kwa timu ya Azam kupata mabao 7 -5 bada ya mchezo huo kufungana mabao 2-2 na kupigiana mipira ya penalt na timu ya Azam kufanikiwa kupata prnati zote tano na mwadui kupata mikwaju 3 katika uwanja wa mkwakwani kati ya Yanga na Coast mpira umevunjika katika dakika za nyongeza 30 baada ya kumalizika kwa dakika 90 mojamoja zikiwa zimebaki dakika 15 za mwiso refa wa mchezo akapasuliwa mawe kichwani vurugu zikaanza wakati huo yanga walikuwa wanaongoza kwa mabao 2-1
↧