Mwanamuziki nguli wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Papa Wemba amefariki dunia akiwa anaimba jukwaani Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.
Video iliyosambazwa inamuonyesha Papa Wemba akianguka jukwaani, wakati madansa wake wakiendelea kucheza kwa mbele bila ya kujua kilichotokea nyuma yao.
Papa Wemba ambaye ni mwanamuziki maarufu Afrika na Kimataifa ilielezwa baadaye kuwa alifia jukwaani hapo hapo baada ya kuimba wimbi wake wa tatu tu.amezaliwa June 14, 1949 - na kufariki April 24,2016Aakiwa na umri wa miaka 66 akiwa na bendi ya , Viva la Musica
Papa Wemba ambaye alikuwa anajulikana kama Mfalme wa Rhumba Rock, wakati wa uhai wake aliwahikufanya ziara na Peter Gabriel na kuimba na Stevie Wonder.
Madansa wa Papa Wemba wakiendelea kushambulia jukwaa wakati Papa Wemba alipoanguka hafla na kufariki dunia.
Yolele ni moja ya vibao vya Papa Wemba vilivyompatia umaarufu mkubwa kikiwamo cha Show Me The Way.

| |||