Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA NANE

$
0
0
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa nane kwa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu. Mkutano huo wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu baada ya kufungua Mkutano wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Taasisi inayopambana na tatizo la Silaha Haramu baada ya kufungua Mkutano wa siku moja unajadili kuhusu kudhibiti matumizi ya Silaha ndogo ndogo katika Nchi za Maziwa Makuu na pembe ya Afrika umefanyika leo April 22,2016 katika ukumbi wa Hoteli ya Naura Spring Mkoani Arusha. (Picha na OMR)








Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles