Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (wapilinkulia) akitoa msaada wa shuka na mito kwa wazazi wote waliojifungua na waliokuwa wakisubiri kujifungua kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya wilaya ya Ruangwa Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko kuu la wilaya ya Ruangwa kakagua hali ya upatikanaji na bei za vyakula akiwa katika jimbo lake la uchaguzi Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu) |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakikabidhi baiskeli kwa walemavu Kanisia Ndaka (wapili kulia na na Rehema Mtachi (wapili kushoto) kwenye uwanja wa michezo wa mjini Ruangwa Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |