Klabu ya simba sport club imetolewa katika mashindano ya kombe la FA baada yakufungwa bao 2-1 na timu ya Coast Union kutoka Tanga katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa kutokana matokeo hayo Simba imetolewa nje
↧