Kesho jumamosi ni siku ya pambano la jadi katika mchezo wa soka wa ligi kuu ya vodacom kati ya YANGA NA SIMBA Timu hizi ni kongwe katika mchezo wa kabumbu hapa zinapocheza basi huwa mioyo ya washabiki wa pamde zote viroho vinawadunda kwanza mchezo wenyewe hautabiriki
lakini ngoja niwakumbushe kidogo mashabiki wa klabu ya Simba Sports club timu hoyo ya wekundu wa msimbazi ilikuwa inafahamika kama Sundarland Sports Club (SSC) kama ilivyo timu ya uingereza lakini rangi ya jezi ni hiyo hiyo nyekundu na nyeupe haijabadilika mpaka leo dam na wakati huo ilikuwa makao makuu ya klabu hiyo ni makutano ya barabara ya kongo na mchikici hivi sasa kuna jemgo la HH Amoni , rai wa jamhuri ya muungano wakati huo ni Hayati mwalim Nyerere
Alisema sasa kunahaja ya kutumia majina ya asili kwa kila mtu badala ya kutaja majina mawili kwa mfano juma omar na badala yake watumie majina na ya ukoo ili kurahisisha na pia vilabu vya mipira nao wasitumie majina ya kigeni ndipo vilabu vungi vikanza kutafuta majina ya kizalendo ndipo katika kufikiri sana ili wasipoteze maana ya herufi za SSC wakaamua kujiita SIMBA SPORTS CLUB hata timu ya Ashanti ilikuwa inaitwa Liverpool ,hata Cosmo ilikuwa inaitwa Cosmopolitan
YANGA Timu ya Yanga imeanza miaka mingi huku washabiki wengi wanaifahamu timu hiyo maskani yao yako mtaa wa Jangwana na Twiga timu ya yanga inapokutana na watani zao Huwa mshike mshike na nguo huchanika klabu ya yanga watu wengi wanafahamu pale ndio walipoanzia makao makuu yao yalianzi katika makutano ya mtaa wa Sukuma na Mafia jijini Dar es salaam Jina kamili Youngs Africans maana yake vijana wa kiafrika lipotoka hapo walihamia katika makutano ya mtaa wa Mafia na Nyamwezi si mbali sana na walipokuwa awali katika klabu mbili hizi maarufu katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki hususani Tanzania wanachama wa klabu hizi nyakati hizo linapotangazwa pambano la watani wa jadi kuchezo mwezi fulani basi ikiwa imebaki wiki moja
katika vijiwe vya washabiki na wanachama u7yakuta unachoma ubani kinawekwa chungu huku wakichomeka bendera za vilabu vyao Simba na Yanga wanakesha kila kona katika jiji la Dar es salaam na mikoani lazima utakuta ubani unachomwa huku
Mashabiki wa klabu hizo wanapokwenda uwanjani wanakuwa na Bendera zao kuuuubwa Shabiki wa yanga wakati mpira hauja anza wanashika bendera zao wanazunguka uwanjani wakitambiana hivi wanakwenda na wakati nilikuwa nawakumbushia pambano la jadi linavyokuwa hivi sasa ni kuvaa jezi tu na matarumbeta angali mzuka tunakujuza zaid wakati huo timu hizi zilivyokuwa zinapeana majina ya utani na mengine hujiita wenyewe
ANGALIA MZUKA NA KUPATA HABARI ZAIDI