Quantcast
Channel: MZUKA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

BREKING NEWZZZZZZ YANGA YSHINDA BAO 1-0 MAURIUTIUS,TIMU YA MAFUNZO YA ZANZIBAR YAFUNGWA BAO 3-0 NA AS VITA YA KONGO SIMBA YASHIKA USUKANI WA LIGI YAIFUNGA STAND UNITED BAO 2-1

$
0
0
PICHA FILE




Timu ya Yanga imeshinda Bao moja katika mchezo wake wa kwaza  wa klabu bingwa dhidi ya timu ya Cercle de Joachim ya Mauritius katika hatua ya kwanza mchezo wa kwanza bao hilo limefungwa mchezaji wa kimataifa Donald Ngoma  ndio kinara alipachika bao mchezo uliochzwa leo

Wakati huohuo Mabingwa wa Zanzibar Timu ya Mafunzo  wamefungwa mabao 3- 0 dhidi ya timu ya kongo ya AS Vita  mchezo ulichezwa leo

Timu ya Simba leo imeshika usukani wa Ligi kuu  ya vodacom baada ya kuifunga  stand United Bao 2-1  mchezo uliochezwa leo  mabao yote ya Simba yamefungwa Hamis Kiiza  simba ina poit 44 na sasa ndio kinara wa ligi kuu ya vodacom 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1239

Trending Articles