Askari 3 wa jeshi la Polisi wamefariki Dunia na wengine wawili wamejeruhiwa vibaya bado hali zao mbaya ajali hiyo imetokea wakati wakiwa katika msafara wakitokea Singida baada ya gari hilo lililokuwa nyuma ya msafara liliopofika kwenye eneo Mukiwa gari hilo lilipasuka tairi ya mbele na kuacha njia na kupinduka kwa mujibu wa Breking News ya ITV muda mfupi ENDELEA KUANGALI BLOG HII YA MZUKA TUTAWAPASHA ZAI
↧