Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Abdurhaman Kinana amemtaja spika mpya mteule wa ccm habar kutoka mjini Dodoma muda mfupi kwamba mheshimiwa Job Ndugai ndie mteulie kwa kauli moja ya wabunge wa ccm kuwa spika mpya wa bunge la 11 baada ya kikao asbuhi mjini Dodoma leo kamati ya wabunge wote kupitisha jina la mbunge wa jimbo la kongwa Job Ndugai na kwenda kupigiwa kura na mbunge atakaeteuliwa na ukawa
↧