WATOTO HAWA WAKIWA WAMEBEBA MIZIGO YA KUNI BAADA KUOKOTA |
HIVI HALI YA MAISHA YA BONDE LA MKWAJUNI |
WATOTO HAWA WAMESHINDWA KWENDA SHULE KUTOKANA HAWANA KILA KITU KINACHOSTAIHILI KWA SHULE |
MKAAZI OMARI MKAAZI WA MABONDENI AKIWA NA MTOTO WAKE MARIAM |
MAMA MARIAM AKIWA NA MTOT WAKE AKITEREMKA KUTOKA KWE3NYE KIBANDA CHAKE |
Haya ndo makazi ya hivi sasa kwa wakazi wqaliobomolewa nyumba zao bonde la mkwajuni |
Kibanda hiki cha mama mwajabu ndio mahala pa kuishi hivi sasa hajui pa kwenda |
Wahanga wa bonde la mkwajuni mama mwajabu akiwa anakorogea unga tayari kwa kupika ugali |
Watoto hawa ambao wameshindwa kwena shule kutokana na kukosa vif vya shule kutokana kufukiwa na kifusi wakati wa ubomoaji bonde la mkwajuni jijini Dar Es Salaam |
upatikanaji wa kuni katika bonde hilo hakuna shida |
Vijana wakibeba chuma kilichobomolewa kwenye nyumba na kuelekea kuuza chuma chakavu |
lICHA YA NYUMBA YAKE KUBOMOLEWA KWENYE BONDE LA MKWAJUNI SALIM ANASEMA TUPO KWENYE KIBANDA MAISHA |
VIJANA WAKITOA NYYA ZA UMEME AMBAZO HAZINA TENA KAZI |
GREDA LA MANISPAA YA KINONDONI LIKIWA KAZINI KUSAWAZISHA UDOGO |
HICHO NDIO KIBANDA WANACHOISHI HIVI SASA AKIOTEREMKA KWENYE NGAZI HUKU WAZAZI WAKIWA KWENYE KIBANDA |
MWANAFUZI ABDALLAH ABDALLAH MIAKA 7 AKIRUDISHI KWENYE MAAKAZI YAKE AKIRUDI SHULE YA MSINGI ANANASIFU DARASA LA KWANZA |
ABDALLAH AKINGIA KWENYE KIBANDA |
ABDALLAH AKIWA KWENYE KIBANDA CHAKE CHA KULALA PAMOJA NA KAKA YAKE IKIFIKA USIKU WANAONGEZA KUZIBA MABATI ILI WAPATE KULALA HUKU MZAZI WAKE AKIFUA |
MWANAFUNZI ABDALLAH AMESTUKA BAADA YA KAMERA YA MZUKA KUFUATA JIKONI AKICHOCHEA KUNI ILI CHAKULA KIPATE KUIVA PICHA ZOTE NA MZUKA WA FUNGO BLOG |